Semina na Mafunzo kwa Wananchama wa Nyumbu SACCOS LTD

KUMBUKA: Mwanachama utajigharamia Gharama za kufika eneo la Semina.
Na Gharama za Malazi zisizidi TZS 30,000 kwa siku, Utarudishiwa na Chama baada ya kuwasilisha Risiti

KUMBUKA: Kila Eneo ina tarehe husika hivyo kumbuka unapochagua eneo zingatia na Tarehe.

BAGAMOYO

Tarehe 07 na 08 Novemba 2025

Karibu kwenye semina ya Bagamoyo. Mafunzo yatafanyika kwa siku mbili mfululizo.

Inapatikana

ARUSHA

Tarehe 14 na 15 Novemba 2025

Jiandikishe kwenye semina ya Arusha. Mafunzo bora yanakungojia jijini Arusha.

Inapatikana

DODOMA

Tarehe 21 na 22 Novemba 2025

Hudhuria semina ya Dodoma. Fursa ya kujifunza na kushiriki mawazo na wengine.

Inapatikana

Fomu ya Usajili wa Mwanachama

Hatua 2: Jaza taarifa zote. Kisha bonyeza Next / Sign ili kuweka sahihi.

Jaza Inputs zenye nyota (*) kama lazima.

Tumia format: +2557XXXXXXXX (au anza na 0 — +255 itaongezwa).

* Required
Mwongozo:
  • Namba ya Simu inatumika mara moja tu.
  • Hakikisha Baada ya Usajili Umepokea Email ya uthibitisho ikiwa na QR code.
  • Hakikisha Siku ya Mkutano Umekuja Na simu yenye Email iliyotumiwa QR code
  • Sahihi itahifadhiwa pamoja na taarifa kwenye database.
  • KUMBUKA: Mwanachama utajigharamia Gharama za kufika eneo la Semina.
    Na Gharama za Malazi zisizidi TZS 30,000 kwa siku, Utarudishiwa na Chama baada ya kuwasilisha Risiti
Server: Offline — hakikisha Umeunganishwa iko kwenye server.